
Niajeni!!
About hizi new designs naona zimeanza kutrend za "CROCHET" fabrics, kama sweaters, scafs and pia vitaambaa za kudecorate nyumba na places mbali mbali,
What your thoughts about hao watu wanafanya hiyo art, Unaweza advise aje msee akue motivated dispite the challenges, juu ni tiring sana and time consuming.
Ebu nishow apa kwa comment section. 👇👇👇👇👇

0
0
0