Niajeni fam. Natafuta supplier wa Tilapia fish. Biz yangu iko Nairobi na the supplier lazma amuse reliable na mtu mwenye hacompromise on quality. Kindly reach out as soon as possible for a deal.