
Niajeni hoteliers, waitresses na ma bazuu wote wa Catering services huku !
Did you know that wakati uko hustle Yako, (Catering, Hotel/eatery) ile presentation ya food unachapa ukipelekea customer matters? Usibwagie tu clande food kwa sahani ikae mkusanyiko inadrain appetite ๐ au sio watu wangu!
Kuwa m'neat, make sure when food is served, everything in the plate can be noticed at first๐. Advantage is: 1.Customer can easily detect an allergen served. 2. See if whatever is ordered is clearly gotten. Tuchapiane more thoughts
#Hack #Mesh4Life #SisiNiMesh



0
0
0