Niajeni last week kama kawaida job yangu ni ya saloon na kitu imenimotivate ni nyanya manze,,,, Nyanya saa hizi ni hot cake nikitoka majioni naeka nyanya kwa barabara na zinapick vibaya manze mjaribu bana
0