
Niajeni majamaa,Naitwa Meshack nimefanya course ya Orthopaedic and Trauma Medicine.Nadai kuwachanua Incase mtu a need Crutches,armslings,knee Braces/ Support,Wheelchairs,pelvic binders,lumbar cosets,msihesitate kuwa connect na Mimi.Nauza vitu safi na Bado nakua personal doctor Hadi asaidike.Niko hapa kuwasaidia.Msisahau Service to humanity ni service to God.
0
0
0