
Niajeni Mesh, Leo nadai tucheki hii section ya
"WOODWORK"
Hii art hunifurahisha coz how carpenter, na woodwork professions hucome up na unique designs kama meza, viti, na hata home decorations kama cupboards etc, hunifurahisha sana, coz ni eco-friendly.
So hiii woodwoork influence ina saidia aje community Kenya kushape the art of woodworking today. ??
Ebu tushow apo kwa comment sectionππππππππππ

0
0
0