
Niajeni Meshers, 14 Days to go tukafunge!
Making it 2years since the pandemic hit our country. Lakini tunashukuru God amekuwa indeed m-faithful kwa lives zetu since then tukiendelea kujilinda nayeye anaongeza ma blessings on top 🔝😊 Au sio?
Mimi lessons nilearn personally kwa life ni ku- prioritize health yangu na kila msee around me more than anything else. Kwa hustla yangu pia big lesson nililearn ni ku-adjust na crisis a d knowing that times zo huchange so katika life ni poa ukuwe ready na have a plan B Incase things don't go as planned .
On to the new years resolutions, hazitakuwa different na this year's since gava ime- confirm the new variant form ni ku- play safe, practicing all precautions na kuhakikisha tuna - #LINDAFAM.
#ShujaazBiz #Tujijenge #LindaFam #NewYear