
NIAJENI MESHERS! DAY 341/365. "ASANTE GOD 🙏
Leo naongelesha msee yeyote mwenye angetaka kuanzisha biz. First of all reality that has to sink in ni kwamba biashara sio easy kumanage! There are days ni walk over and others unafeel ni kama ume-make the worst decision ya ku-invest where things aren't working"especially this time COVID ime-kuwa challenge".
So key points hapa ni:
-
Make sure ukona enough capital
-
Make sure it's a LEGAL BUSINESS I REPEAT 🔁" LEGAL BUSINESS"- Coz mayout siku hizi tunapenda short cuts.
-
Be ready to invest in something that you are passionate in. Usianzishe biz ju ya pressure ama kutaka ku-compete na msee mwingine.
-
Make sure ukona enough skills so that you won't disappoint your target audience (Customers wako)
-
Look for a strategic place ya kufungua biashara Yako.
Kama wewe ni msee unafikiria kuanzisha biz na doo maybe ya loan ama umekopa msee, it's advisable utake time ya kufikiria biz poa yenye ita-pick as fast as possible ju making profit without progress ju ya kulipa madeni left right will end up demoralizing you!.
Lastly Kama ukona skills in sth perfect in it and make it your hustle"Usiogope kukula jasho Yako"! For example if " You love cooking- ingia pale YouTube na itengeneze hizo recipes, post them cause hiyo ni hustle itajipa even in future.
Tuchapiane pale kwa comment section more tips na advice kwa wale wangependa kuanzisha biz.
All the best!.
#Tujijenge #ShujaazTalk #ShujaazBiz