
Niajeni Meshers,hope m-mekuwa na siku poa! Nime-come across swali kadhaa kuhusu hii story ya lenders na ku-access contact list ama privacy ya clients wao wenye wanachukua loans na firms zao!
Personally, sidhani ni poa kabisa!As a financial institution ...wanafaa kufuata the legit terms and conditions which involves both the customer and an "aware guarantor" Ni vizuri msee kukuwa aware, of such things ! hii story ya kupigia mpaka ma - pastor ju someone aliweka personal number yake mahali akichukua mkopo Sio poa kabisa ...
I know mostly this mobile loans ni addictive but let's try to be honest pia na lenders wentu and learn to communicate na wao ku-avoid such pathetic scenarios!.
Sisi kama Meshers nataka tuset good example to others out there...it's possible kuchukua loan ku-boost biz but just because mahitaji ya hiyo siku ilikuwa cratered for hai-maanishi tuzushe wakati wa kulipa.!
Tuchapiane views ju ya hii story!.
#BizLoans #ShujaazBiz #Tujijenge