
Niajeni Meshers, I came across a podcast debating relationships and career. Kwa podcast , kuna msee alisema relationship zinafanyanga msee anakuwa drained to a point focus na goal zake in life zina dim
Do you agree that relationship drain you and not build you?
Remember to join us at 8PM Usiku tuongee kuhusu mental health https://meshlife.page.link/...
0
0
0