
Niajeni Meshers, Katerina hapa! Hustla kutoka Mombasa but recently Niko based Makueni chasing few errands!
Tangu COVID-19 cases iliaffect biz yangu Sana ...nika end up kuloose clients wengi especially wale walikuwa always on the road and wale nilikuwa nategemea mainly. But first ningependa ku- incurre huge gratitude kwa DjB -Shujaaz...Alicome through time hii virus ilihit through #LINDAFAMEDITION Yenye tulipata ideas most on how to adjust!.
Along the way nili-divert na kufanya short hustles kiasi kama kutengeneza sabuni, learnt several online jobs(Freelancing) na pia nikapata skills za kushare na mayout pale mtaani.
Measures ambazo niliweka on the forefront ni hizi hapa👇👇na zilinisaidia Sana. #SisiNiMesh #Shujaaz
0
0
0