Niajeni meshers kwa wanaume ya kubeba documents tablet simu charger cable earphones na essentials ingine kama unaenda wera ama kama unaingia kotiko ama ya kuweka boarding pass passport ya kuingia Airport niko na crossbody bag ingine moto ya Rexine Leather body na pia straps ya kuvaa kwa mabega na iko na compartment main ya kuweka documents 10 inch tablet Boarding pass Passport ama legal documents na fromt compartment ya kuweka simu , charger, notebook cables na essentials ingine for easy access ni 1700= tu DM on 0745045393 if interested
0
0
0