Niajeni Meshers kwa warembo wangependa kwa na Bag ya kwenda nayo shopping yenye iko na African heritage design ama tuseme we ni portrait artist umeattend exhibition ya mayolo na unataka bag yenye inaonyeshea watu where you from Kuna Hii Jute Ankara Tote Bag moto sana yenye imeundwa na Jute na Cotton Fibres na iko na side trim ya Ankara Fabric yenye itakuserve for 5 years ya kuweka sketchbook na art tools kwa wasanii na for shoppers unaeza nunua light shopping in style than kushinda kununua hizo bag za red nyingi kila wakati ukishop .Bei ni 1400 DM tubonge on my number 0745045393 kama unafeel huyu ni wewe
0
0
0