
Niajeni Meshers,
Leo nadai kubonga na "Comrades" ju mimi nawajali kama ma-siz na ma-bro.š¤ Story ni; WAKATI UKO COLLEGE AMA UNI, UNA-GAIN AJE EXPERIENCE & BREAK INTO YOUR CAREER?.
Kwa wale ambitious people wote wako hapa nadai tuchapiane pia hapo kwa comment section tusaidie ma-Comrades!
Mimi on my side nadhani most of the ways za ku-gain hii experience ni;š 1.Through internships/cooperative education 2.Voluntering 3. Working on campus as a student assistant ama kwa research positions.
Ideas gani zingine zinaweza saidia kupata hii experience. Hebu tu-Jengane
#Tujijenge #Comrades
š„š„š„
0
0
0