
Niajeni MESHers. Mimi huchapa job kudesign architectural drawings, structural drawings rendering uone vile keja itatokea fiti ikijengwa kuestimate materials zitamaliza project na any other consultancy kwa industry ya construction. Nipigie kwa 0723459759 tuchape biz na bei poa
0
0
0