Niajeni Meshers Naitwa vinnie. Mimi ni student Meru university nafanya electrical engineering 🔌. Kuna idea poa ilicross my mind about designing juakali amplifiers and subwoofers zenye ziko high quality tehn naziuzia mastude. Noma sa hii noma ni dooh za kustart hio idea. So swali ni cz najua kuna wasee wamechukua kacredit kiasi about 5k, ni wapi naweza pata such funds na zisikuwe na interest kubwa. Thanks in advance Meshers. Attached:sample juakali sound systems
0
0
0