Niajeni Meshers,nataka mnisaidie bana kwanza kwa wale wanadeal na Poultry,kuku wangu sijui shida ni Nini na wao,of late bana naona ni kama wanafura miguu Ady kutembea shida ,,,wanne wamekufa juu ya ii shida,,na ni Chicks wako 3month
0