
Niajeni MESHers natumai mko freshi barida๐๐ค.
I have an ask today!
Niko sure hapa majority wamefanya biashara na wengine hata wanafanya sai!
What is you best sales you did so far like in a week or month or even a day!?
Like Ni biashara gani Hadi wa Leo ukikumbuka unanice tu big-time. Unajiambia "enyewe I did it" . It can be in terms of units or profits you made!
Mimi yangu Ni wiki fulani in 2020 , was my best week ever. I sold 55 units in a week (Monday - Sartuday) with 1800/- profit per unit.
Nimekuwa nikipita books nilikuwa nimeweka hapa nikapata hizo notes nilichukuwa hizo days.
Nichapie yako kwa comments ๐โ๏ธ #TwendeNalo #Biz

0
0
0