
Niajeni Meshers, Ningependa kujitambulisha zaidi leo na pia kushare na nyinyi benefits nimepata hapa Mesh!Naitwa Katerinah Kim, hood ni Mombasa lakini hometown ni Makueni.Mimi ni big fan wa Dj B.Hustle yangu ni Cyber business, Freelancing jobs na recently nimekuwa nikiuza delicacies (Mabuyu,Kashata Cakes na mapochopocho ya Mombasa)😊
Mesh ni digital platform ya mayout wako serious kwa biz.For the last one year nimekuwa proud member wa mesh na nimepata benefits mob Sana ambazo ningependa kushare na nyinyi!.
1.Nimepata ku-connect na mayout wenzangu wako kwa same business kama mimi.Tukashare ideas za kujengana na vile kila mmoja wetu anarun biz yake . 2.Nimepata opportunity ya kukuwa moderator wa group moja ambayo imenifanya nifanye more research on loans na nikapata ideas zenye Huwa nashare na mayout hapa kwa hii community yetu. 2.Mesh platform wamekuwa helpful Sana na kutupea facilities zenye zilinisaidia time crisis ilikuwa imehit the country.recently Eneza wametujenga na tunazidi kugrow pamoja. 4.Nime-educate wasee wako kwa biz kama mimi wajoin mesh.Though Sio rahisi kureach out ... nimejaribu Sana kuwashow vile mesh ni platform poa cause unapata ata opportunity ya kupromote biz for free na imenipea so many new connections wenye tunaendelea ku-promotiana.
Lastly ningependa Sana kushukuru Dj B , Maria Kim na entire Shujaaz fraternity kwa kutujali sisi mayouths. Mesh is the place to be so please Mayout wako hapo nje let's consider joining,... connect na wasee,...join groups kadhaa and you will be good to go.
#SisiNiMesh #Tujijenge #ShujaazBiz #KaribuniMesh