
Niajeni meshers, unapata mtu Ako na lapi na hana docking station, I got you, this is for all the HP laptop owners, niko na docking stations kibao on sale, na for this one time only, one docking station inakam na one lock ya lapi, so the whole package ni ;
- Docking station.
- Laptop charger.
- HP lock. (For free) Yote tatu inakam for a fee of kshs. 2750 Advantages ni ati lapi haitaoverheat juu ya charging juu si direct charging so more battery life, more ports za kuwork nazo, lapi pia inakaa poa ikiwa kwa docking station, pata yako Leo, niko githurai 45, mwihoko. Cheki mapicha kiasi hapo chini na pia unaweza niulizia more details ama more pics.




0
0
0