
Niajeni. Mi ni msee wa design, na niko na skills za kuchora logos, branding na kucreate graphics kali. Nikikreate, focus yangu ni kufanya kazi ifike juu na kuacha client akiridhika. Ukiwa na idea, mi ndio msee wa kuleta hizo visions zako kwa life.
Nimespecialize pia nankuuza machine kama PC na workstations, simu na accessories zake pia




0
0
0