Niajeni, mimi ni software developer huunda systems za supermarket,wines,pharmacy, hardware POS pia sacco systems na naintegrate MPESA kwa website yako ikue online shop ama system yako.
Nimeiva Python using Django, PHP with Laravel na React and Vue kama unadai jua hizi vitu am here to help a bro...pia uneza leta biz nikujengee mambo safi ooh pia kama unataka system ya kumanage na monitor stock yako niko hapa.
0
0
0