
Niajeni mmi nlianza gig ya kueka one day old chicks na saai zko over 4mnths by next month nitakua nauza mayai na wholesale coz nko na over 190 layers soo if anyone ako na connections za place naeza kua nauza maayai in bulk we can talk of a commission kama mesh .... @0110242268 tubonge apo
0
0
0