
Niajeni my MESH Fam. Brayo inadi-area Leo nadai kuwachapia kuhusu advice yenye mine-get hii weekend. Am proud to be a Rover Scout na kawekendi tumekuwa na camp. Kwa io camp tushow-iwa ukiget opportunity ya kubonga na Seniors wako one on one usi-iwaste. #Proud to be a Scout. #MESHer siku zote

0
0
0