Niajeni... Nataka kuanza biz .. niko colle na sina enough capital, msee aniambie neza access loans wapi, nataka kuanza kuuza hizi marashi za kurefill. Nijengeni na hiyo info meshers