
Niajeni, naweka kuku, in large, so nlikuwa nauliza anyone mwenye anajua dawa in order, juu zinaweza kuwa na vifaranga 12 but zikikuwa kubwa zinabaki tatu ama mbili,... Any recommendations ya dawa poa ya both ya vifaranga na kuku kubwa anyone!!??
0
0
0