Niajeni super Meshers,, kuna hawa wasee wanadai kuwa na biz za online na lending firms, get rid of them from this platform coz like 3 guys washaanza kulia wameporwa nao,,, #be careful,, tusiharibie Mesh jina my people 🙏🙏
0