
Niajeni Team MESH🤜
Taking Breaks: 🧘♀️🧘♀️
If you find yourself getting frustrated or stuck, take a short break. Sometimes Kustep back na kupumzika later itabring positivity which italead kwa new creative solutions.
So ebu tuchapie hapa kwa comment section; 👇👇👇👇👇👇👇
Ni strategies gani wewe hutumia kutake breaks wakati umechoka ama umekua stuck from your creative endeavours and hizi breaks huwa zinaleta mafanikio kweli kwa kwa kazi yako???

0
0
0