
Niajeni wadau , hii Nairobi tulisema MTU wako ni wako ikiwa na yeye🥲 akiondoka ni wetu 😂. Anyways ushaipatana na poa na ukajiambia hapa ndo nakaza kamba 🥰, Mnaplan life vision yenyu ya the future alafu after mshafungua biz pamoja mapenzi inakataa 🥲na biashara nayo inaanguka 💔.
Do relationship hold a major section of the foundation of the business?
Kama ushaitoboa hii situation tuchanue juu kuna venye wengine wetu tunalemewa
0
0
0