Niajeni wadau hii ni great advice kutoka book inaitwa The Richest Man in Babylon na inakupea simple tips za kueza kujijenga especially financially from saving to investing na pia kumultiple your income in easy to follow practical ways. Ukidai kitabu in soft copy usikose kunichapia #self development

0
0
0