
Niajeni wadau, manze hakuna kitu huwa inaffect mental health Kwa biz kama finance management.
Ngori hukuwa hapo Kwa kubalance na kuseparate dooh ya biz na pesa yako personal.
Leo tujengane na tips za venye msee anaeza separate dooh ya biz na dooh yako personal
0
0
0