
Niajeni wakuu hope mko fiti. Izi pic zinadisplay hustle nlkua nafanya kama baker. Mi ni decorater mmoja skilled, na pia pastry nafanya. Sai tho niko jobless izi skills zangu nmelalia😪Thru you meshers I'm hoping ntapata connection ya job mahali kijana aendelee kujijenga vile inafaa. Napatikana anytime anywhere mi sibagui. Unaeza nivutia wire through 0769293335. Jah akubless wewe unasoma hii🙏🤞
0
0
0