
Niajeni wangwana kindly nadai kuanza kuuza smokies na sausages na mayai niko na troli na place naweza weka, si must nizungushe but shida ni eti sijui vile hizo sausage na smokies hutengenezwa,,nimejaribu kuuliza wasee huuza but hawaniambii kindly help na nitashukuru sana๐๐
0
0
0