Niajeni wase hustle yangu kwa passion ni art through beading na power point yangu nikulearn kuunda jewellery ya aina mob na kuwa na kampuni yangu, na pia kupost tutorial youtube