
Niajeni wasee.i'm a student from machakos university. So on 27th and 28th may 2022.kuna awa wasee walikam chuo kutufunza mambo na online working.wanajiita AJIRA DIGITAL.kuna platform inajiita 'upwork for freelancers' yenye unainstall from play store then una regester.Tena unarejester kwa 'ajira digital.go.ke' After kurejester kwa upwork,unapigwa 50 free connects za kusaka wira apo.unaeza search job zenye znamatch interests zako ama pia trained skills zako.izo job znainclude, typing,data entry,e.t.c na unafanya chenye uko poa nayo ndo uavoid kupitisha deadlines za client ju io inaeza fanya account yako ikue suspended.kujeni wasee tujaribu hii bahati manze.
0
0
0