
Niajeni wasee, Naitwa Maisie na ntakuwa host wenyu. Tumecreate hii group ndo tuweze kujengana kama wanabiashara. Biz inaweza kuwa frustrating at times but don't worry we are here to help you. Feel free kushare your experience na tips on how to over come mental health issues Kwa biz.
0
0
0