
Niajeni wasee. Najenga platform yenye unaeza raise capital ya biz ama startup yako kutoka kwa public. Inaeza kua mabeshte wako, familia, investors ama ata wasee wanabambika na hustle yako. Hii form inaitwa Crowdfunding, na ni chance poa ya kuraise capital from 1 million shillings upto 100 million shillings. Investors pande yao watapata a small ownership in the company or business wameekelea doo, such that hiyo kampuni ikiwa kubwa in future, msee anastand kumake pesa mob.
Nichapieni hii idea inakaa aje, na kama unaeza kuwa interested kuinvest pesa yako kwa companies ndogo zinagrow.... na pia kama uko na biz unaskuma, kama unaeza taka kuraise capital kutoka kwa wasee wengi uwapee shares.
0
0
0