
Niajeni Wasee, Nlitaka kushare acting tips kadhaa unaeza apply kama uko hii field.
- Practice your craft regularly 2.Seek out auditions proactively.
- Prepare alafu ndio ukue confident kwa hizo auditions
- Don't take rejection personally, endelea kujaribu one day itajipa.
- Alafu kua surrounded na wasee wanakusupport
Ebu tujengane na techniques ama advice zenye zimekusaidia in your acting journey? Let's support each other and keep improving our craft. #Tujijenge #MeshCreatives

0
0
0