Niajeni wasee, tukiamka kwenda kufungua biz zetu Leo , kuna hizi vitu tano nadai tuembrace ndo tumanage mental health zetu Kwa biz.