
Niajeni washikadau 😍 It's a new week how are you starting your business week ? Energy yako iko aje leo being a Monday? Today let's discuss on how to handle watu wa madeni. Kuna watu wengine hungoja tuu unaleta stock na mara hio hio wanataka deni 😂 mark you hata huja sell anything from the new stock!!! How do you deal with such clients?
0
0
0