
Niajeni watu wangu... Juzi Kuna msee alinirequest I share About my hustle... I'm a home baker but initially I was employed. While at it nlkua nasave dooh polepole... Through chama ndogo ndogo... Za 100 za 200 I had chamas kama 4 na I used to save bado... Najua most will be surprised how I used to manage hizi chama... Some will think nlkua nalipwa dooh mob😂😂😂 ningepewa pesa ya chama Moja nalipa nayo chama nyingine 😂 In 2019 Nov I bought a cooker which has an oven... But then sikujua itakuja kutumika in baking... Nikaanza kubuy tins slowly... Started baking bila any idea... I love cooking and stuff but sikujua I'd become a baker... 2020 covid came... Nikaachishwa job.. haikua easy but God ni nani... I wanted to focus fully in baking but sikua na everything yet ... Sikuchoka Mimi huyo YouTube for tutorial na I'd still get orders... In fact my former boss is my high rated client... Polepole orders zikija naongezea materials bila kufikiria what nitajibakishia... But sikuchoka... This year nime make kuenda classes to perfect my skills na I'm better where I am than where I was last year a time like this.... Siwezi sema nilianza na 100k ama 50k.... I started small.... I'm still growing.... Sijafika yet..... Anyone who knows about baking anajua how expensive baking stuff are... I started with buying oven... Then tins one by one.... Na kule Niko sahii.... I don't regret.... Tusikufe moyo wenzangu... 😌😌 Now I'm fully employed in my baking business and I'm proud of myself
I hope Kuna mtu atasaidika na hii mahali #myhustle #baker