
Niajeni wazito ni ogutu hapa VENYE MSEE ANAEZA INCREASE SALES ZAKE KWA SOCIAL MEDIA PLATFORMS
1.ldentify PLATFORMS yenye wasee wanatumia sana e.g Facebook, WhatsApp or IG 2.Post bidhaa zako kila mara kwa siku alafu engage your consumer kila mara 3.weka offer kwa bidhaa zako ili customers wake wakuwe motivated kununua 4.Ambia customers penye uko based at .
#shujaazsuperfans
0
0
0