Niajeni wazito wangu wa nguvu, leo nauliza kama kuna msee anadai ama anjua place wanadai cleaning services, niko hapa at there service plus mbogi yangu ya mtu 3 wenye wanajituma mbaya