
Nijae wakurugenzi mi ni mgnai hapa but nimeona ni place fiti ya kurdow that is why leo nataka kuandika thread ya side hustles yangu ya Agriculture nikona shamba ya nyanya almost harvest nilikuwa aThop naeza pata market huku nisipelekwe Sahara na mabroker
0
0
0