Nijae wasee. Naitwa Meshack kutoka Machakos but currently niko nyeri Naomba mnisaidie na tips za kuuza viatu za mitumba zile unisex alafu vile naweza pata mahali nitanunua stock ya 8k