Nikaona mambo na incubator inanipeleka mbio nikaamua pia nifanye farming ili iniboost kiasi na capital ya kubuy mayai busia so mpaka sai shamba iko hivi