
nikieza pata hii 10k ntafungua kipanda ya kuuza chakula kama githeri, chapati , mandazi, maharagwe na hata chai. hii biz yangu ntaeka next na kisii poly since i see a ready market there. my customers watakuwa students na workers wa garage yenye iko nearby hapo.
#10k challenge.
0
0
0