Nikieza pata hii pesa unaeza Ni help Sana jwa kuendeleza biashara yangu ya salon juu nahitaji kurestock braid na kununua blow-dry mpya juu time ya covid business ilisimama