
Nikiingia kwa mesh app kitu ya kwanza kuangalia inakwanga hapo kwa opportunity section. So leo nimeingia na nikaona kuna opportunity ya loan ....how can you pay 10k within a week or 2 ?.. ama me ndio sielewi vile wanasema iyo duration ni short sana wueeh ...na minimum wamekuekea tu iyo 10k hakuna kuchukua kidogo kuliko iyo ...tu DISCUSS how to manage iyo period ya kulipa loan ?... Nko sure kuna watu watachukua juu so far naonanga wasee wakiulizia juu ya loan... Na huezi kua sure na sales manze by the way
0
0
0