
nikiwa na 10k ntafungua kipanda.. kwa hii kipanda ntakuwa nauza mboga, nyanya , vitunguu , pilipili,ndania, pia ntaongezea matunda. kwa kipanda ntakuwa nikikatia wateja wangu sukuma wiki na cabbage. ntakuwa na bochi la biashara mahali customer wangu watakuwa wakilipia.
0
0
0